About Us   |   Contact Us   |  
Submission  

Mazingira ya Ujitokezaji wa Matendo uneni katika Tamthiliya ya Kivuli Kinaishi na Nguzo Mama

DOI : https://doi.org/10.36349/easjehl.2024.v07i12.006
PDF
HTML
XML

Makala haya yanahusu ujitokezaji wa matendo uneni katika tamthiliya ya Kivuli Kinaishi na Nguzo Mama. Lengo la Makala haya, ni kuchunguza mazingira yanayoukilia utokeaji wa matendo uneni katika tamthiliya ya Kivuli Kinaishi na Nguzo Mama. Data za zilikusanywa kwa njia ya uchanganuzi matini na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo. Sampuli ya utafiti ilikuwa ni tamthiliya mbili ambazo ni Nguzo Mama na Kivuli Kinaishi, sampuli hizi zilipatikana kwa kutumia mbinu ya kutabakisha na mbinu ya usampulishaji vigezo. Makala haya yameongozwa na Nadharia ya Kitendo uneni kama ilivyoasisiwa (1962) na Austin kuendelezwa na Searle (1975). Matokeo yanaonesha kuwa, kuna mazingira maalumu yanayoukilia utokeaji na utendekaji wa matendo uneni. Mazingira hayo ni: wakati muafaka, lengo la tukio, hadhi na mamlaka ya mtoa usemi. Kadhalika, vifaa maalumu vya kufanikisha tendo uneni husika na hadhira inayoathirika na tendo uneni hilo. Kwahiyo, watafiti na wataalamu wa fasihi wanapaswa kujikita katika tanzu zote za fasihi andishi hasa kwenye tamthiliya ili kuchunguza matendo uneni na mazingira ambayo hupelekea kutokea kwa matendo uneni. Hii ni kutokana na ukweli kwamba matendo uneni ni mbinu mojawapo ambayo waandishi huitumia kama ubunifu wenye kuleta tija katika tanzu za fasihi andishi.

TOP EDITORS

OPEN ACCESS JOURNALS

Dr. Afroza Begum

Lecturer, Dept. of Pharmacology and Therapeutics, Shaheed Monsur Ali Medical College & Hospital, Uttara, Dhaka-1230, Bangladesh

BEST AUTHOR

Of The Month

TRACK YOUR ARTICLE

Enter the Manuscript Reference Number (MRN)
Get Details

Contact us


EAS Publisher (East African Scholars Publisher)
Nairobi, Kenya


Phone : +91-9365665504
Whatsapp : +91-8724002629
Email : easpublisher@gmail.com

About Us


EAS Publisher (East African Scholars Publisher) is an international scholar’s publisher for open access scientific journals in both print and online publishing from Kenya. Its aim is to provide scholars ... Read More Here

*This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 4.0 International License.

© 2020, All Rights Reserved | SASPR Edu International Pvt. Ltd.

Developed by JM