About Us   |   Contact Us   |  
Submission  

Muundo WA Virai Vya Sentensi Ya Kîîgembe

DOI : https://doi.org/10.36349/easjehl.2021.v04i03.005
PDF
HTML
XML

Abstract: Kirai ni kipashio cha muundo chenye neno moja au zaidi lakini kisicho na muundo wa kikundi nomino na kikundi tenzi. Virai ni mojawapo ya vipashio vya sentensi ya Kîîgembe vinavyoshughulikiwa katika taaluma ya sintaksia. Makala hii inashughulikia muundo wa virai vya sentensi ya Kîîgembe kwa kufafanua kanuni zinazoongoza uunganishwaji wa virai kuundia sentensi ya Kîîgembe.Data ya sentensi 50 imetumika katika makala hii. Virai aina tano vilichanganuliwa na kuainisha miundo ya virai katika Kîîgembe na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo. Makala hii inachangia katika kuongeza maarifa ya kiutafiti kuhusu sentensi ya Kîîgembe, kutumika kwa lugha hii kwa kuchangia maendeleo endelevu na kuhifadhi maandishi yake.

TOP EDITORS

OPEN ACCESS JOURNALS

Dr. Afroza Begum

Lecturer, Dept. of Pharmacology and Therapeutics, Shaheed Monsur Ali Medical College & Hospital, Uttara, Dhaka-1230, Bangladesh

BEST AUTHOR

Of The Month

TRACK YOUR ARTICLE

Enter the Manuscript Reference Number (MRN)
Get Details

Contact us


EAS Publisher (East African Scholars Publisher)
Nairobi, Kenya


Phone : +91-9365665504
Whatsapp : +91-8724002629
Email : easpublisher@gmail.com

About Us


EAS Publisher (East African Scholars Publisher) is an international scholar’s publisher for open access scientific journals in both print and online publishing from Kenya. Its aim is to provide scholars ... Read More Here

*This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 4.0 International License.

© 2020, All Rights Reserved | SASPR Edu International Pvt. Ltd.

Developed by JM